Abida Avuka Barabara ni kimoja cha vitabu vyahadithi katika msururu wa Little Birds ECDE ambayo vimeandikwakuwapa watoto maarifa na mbinu za kimaishana hasa njia na hatua salama za kuvuka barabara. Piamichezo iliyo salama.Lengo la msururu huu ni kuhimiza usomaji miongoni mwawatoto. Msamiati uliotumiwa kuandika hadithi hizi ni rahisi nawa kawaida. Picha na michoro maridadi na ya kupendezaimetumiwa ambayo inaifanya hadithi iwe ya kupendeza nakufurahisha. Hii itasaidia kuwachochea watoto kujadiliyaliyomo wanaposoma.